kukosa pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  2. M

    Una mapenzi ya kweli ila kukosa pesa ndio kunafanya uonekane msumbufu 😔

    KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UONEKANE MSUMBUFU KWENYE MAHUSIANO 😔 Maskini unaweza kuwa na upendo tu wa dhati na uaminifu mkubwa ila kukosa kwako tu pesa ukaonekana MSUMBUFU kwenye mahusiano. Kumpigia simu za kumjali na salamu za hapa na pale ni msingi mzuri wa mahusiano ila kwa sababu tu huna...
  3. BLACK MOVEMENT

    Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  4. D

    Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  5. Bushmamy

    Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu. Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
  6. BARD AI

    Tanzania yafadhili mkutano wa Shirikisho la Soka baada CAF kukosa pesa

    Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma. Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za...
  7. The Clinical Pharmacist

    Kukosa pesa kunaweza kitu watu wengi wenye tabia mbovu wanajificha humo (camouflage) na kuonekana ni wastarabu ilhali sio

    Salaam wadau.! Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani. Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
  8. BabaMorgan

    Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  9. g vizy

    Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

    Habari wakuu. Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa. Hebu tupe mtazamo kwa huyo wa kwako.
Back
Top Bottom