kukosea kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha

    Wanajamvi natumai kwema kwa wote hata mimi pia. Naomba kuuliza huu msemo wa kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha; Kimtazamo umekaaje...? Mfano;Mimi nina mke 1, na mtoto 1, nina miaka 5 ktk ndoa na Umri wangu 33. Nimeona kila Dalili kua nimekosea kuoa. Ikitokea nimejiengua katika hii ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…