Sina hakika kama ni Afrika nzima au Mtanzania tu.
Wengi wao akikupigia simu baada ya kupokea simu yake na akagundua kuwa haukuwa mlengwa, basi hukata simu ghafla bila maelezo yeyote.
Huwa kuna sababu gani ya kufanya hivyo? Je, ni uungwana? Mtu yule hata ukijaribu kumpigia ili kujua ana shida...