Habari Mwana JF,
JamiiForums inautaarifu Umma kuwa kutokana na tatizo la kukosekana kwa Intaneti, Mjadala uliopangwa kufanyika leo Mei 13, 2024 kupitia X Spaces umeahirishwa hadi wakati mwingine itakapotangazwa tena.
Tunaomba Radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu.
Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu.
Wewe unatumia mtandao gani, je, kuna nafuu?
Pia soma:
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
- Mitandao ya simu ipige faida ya...
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.