kukosekana kwa mvua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Asilimia kubwa ya Mazao nchini yanakauka kutokana na jua kali linaloendelea kuwaka. Je, kwenu mpo salama?

    Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa. Nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…