kuku broiler

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Kuna jirani yetu anauza kuku wa kisasa Tsh. 5000. Ni kwamba kuku wameshuka bei kiasi hiki au ni vibudu?

    Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach. Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000 Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei imeshuka hivi? Anasema ana kuku wengi kachinja Jana na leo anachukua oda wanaotaka. Loh kama bei ni...
Back
Top Bottom