🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
📠☎️ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI...
Wakuu
Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza.
Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO
1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100
2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES
PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI...
broiler
broiler t-s900
chakula cha kuku
chanjo ya kuku
hyline
kukuchotarakuku wa kisasa
kuku wa mayai
kuku wa nyama
mashine ya vifaranga kutotoleshea
s&q
vifaranga
Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu
Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa.
Itakusaidia katika ufugaji wako.
1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri na aina zote
2. Itakupa uwezo wa kupiga hesabu za makadirio ya ulaji wa kuku wako kwa kipindi fulani...
JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano
2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji
3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji
4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
Habari za kazi waungwana.
Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo.
Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai?
Shukrani za awali.
Habari wadau?
Naomba kuuliza, je, inawezekana kuwafuga kuku chotara na kuku wa kienyeji kwa kuwachanganya katika banda moja?
Yaani, unakuwa na banda moja la kuku hao (kienyeji + chotara) ila unawafuga kienyeji wote kwa kuwafungulia nje ndani ya fensi lakini, na jioni unawafungia ndani (Ufugaji...
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.
Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.