kuku wa kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pehraa

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  2. Madam Ritha Massawe

    Sehemu sahihi ya kuagiza vifaranga ni s&q group of international limited

    AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO 1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100 2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI...
  3. C

    Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
  4. Strong25

    Ufugaji kuku wa kisasa

    UFUGAJI WENYE TIJA HABARINI WAKUU #natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila sijui chochote kuhusu kuku (target yangu nihawa wanaita kuku wa kizungu)__yan sio wakienyeji mana hao...
  5. Kaka yake shetani

    Fuga kuku wa kisasa kwa njia ya kienyeji utanishukuru

    Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo. Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1...
  6. Mganguzi

    Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  7. carnage21

    Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?

    Habari zenu wana JF, Mojawapo ya chakula kinachotumika na idadi kubwa ya watu hasa mijini ni nyama ya kuku wa kisasa. Je, kuna madhara yoyote ambayo mtu anaweza kupata baada ya utumiaji wa hiki chakula kwa muda mrefu? karibuni!
Back
Top Bottom