Habari, nina kuku wa mayai 230. Wana miezi minne na wiki moja. Nimekwama kwenye kuwalisha. Bei ni tsh. 10,000 tu kwa kuku mmoja.
Km upo interested nicheck kweny 0787329281
Au km yupo unaemfahamu anayetoa chakula cha kuku wa Layers kwa mkopo tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukran
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili.
Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha...
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO
1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100
2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES
PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI...
Mifugo plus Tunauza vichanja vya kufugia kuku wa mayai,kuku wa nyama pamoja na za kulelea vifaranga.
■BEI ZA CAGE'S/VIZIMBA
■KUKU 96 BEI 650,000/=TSH.
■KUKU 128 BEI 850,000/=TSH.
■VIFARANGA 400 BEI 550,000/=TSH.
■KUKU WA NYAMA 120 BEI 950,000/=TSH.
MAWASILIANO
#0656446991
#0774608608...
Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki
Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara
Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na...
Hello wakulungwa
Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic.
Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk)
Changamoto zake nk
Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo...
Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
Salaam wana JF,
Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
Ndugu zanguni wazima?
Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda).
Tafadhali mwenye...
Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300 niweza pata hadi trey 18 kwa siku kuku wa kishaanza kutaga sasa kwa upande wangu nimeona ni fursa...
Cage za kuku wa mayai.
Layers Cage.
¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%.
²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai.
³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator?
Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai?
Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator?
Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara?
Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe?
Nitajuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.