kukubali kukataliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BoyHimself

    Unaweza kuwa mzuri sana ila bado ukakataliwa

    Kumbuka kuwa, pamoja na kwamba unaweza kuwa mzuri sana ila bado utakataliwa....hata maembe ni matamu sana ila sio watu wote wanapenda maembe... Mananasi pia ni matamu sana lakini sio watu wote wanapenda mananasi..VNa vyote vitamu unavyovijua sio kwamba vyote vinapendwa na kila mtu... Kwahiyo...
Back
Top Bottom