Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba,
Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
Huko Instagram na Twitter kumetokea malalamiko ya kada mwandamizi na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere kuhusu kutoalikwa kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa ikulu na Rais Dr Samia Suluhu ambaye pia ni mwenyekiti wa chama pendwa CCM. Nimesikitika na waandaaji kumsahau...
Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum.
Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
Ni matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za...
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums.......
1. adriz
2. Bila bila
3. Daudi...
Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania.
Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM.
2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM.
3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka.
4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea
====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake?
Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji.
Huku...
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa.
2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM.
Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania.
Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi.
Saivi nendeni...
Kwema wakuu!
Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.
Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano.
Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.