Leo ni sikukuu ya Christmas .. Siku kubwa ulimwengu kote.. Kwa wiki nzima hii yametokea matukio ambayo yatakuwa ni simulizi za kukumbuka miaka mingi iijayo
Mimi ninazo simulizi mbili nawe kama unayo uta share nasi
Ukata Christmas ya 1993
ilikuwa kipindi cha Mwinyi
Tumeshamaliza chuo tulitakiwa...
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine.
Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu.
Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi.
Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
Za jumapili wanaJF,
Leo naomba nitumie jukwaa hili adhimu kuelezea niliyokuwa nimeyaona kwenye makunbusho yetu ya Taifa nilipotembelea hapi wiki mbili zilizopita. Nimewahi kutembelea pia miaka ya nyuma.
Nakiri makumbusho ni sehemu muhimu ya kujifunza Kwa hiyo inabidi kuwepo na vitu vya kutosha...
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea nikiwa nimeshaondoka.
1. Alizika uhuru wa vyombo vya habari na kutia saini sheria kandamizi kwa...
Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao walikuwa wakionewa na utawala wa Czechoslovakia.
Wakati huo Hitler alikuwa na jeshi kubwa sana kiasi...
"Watu wengi wakimaliza vyuo wanakwenda mtaani mahali ambapo kuna malengo yao, yanawasubiri Lakini hakuna anayejua kama ndio malengo yake"
Mitazamo na mifumo yetu ya elimu, imewapa giza vijana, Wamekuwa wakiamini na kuaminishwa Shuleni ndio mahali pekee na bora katika kufanikiwa kimaisha huku...
Ikiwa dunia inaadhimisha siku ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali nyekundu kila ifikapo Mei 8, nchi mbalimbali hasa hza Afrika zitaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China katika barani humo, ambao wamekuwa mstari wa mbele kupambana na...
Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna...
Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23]
Imeshawahi kukutokea situation kama hii (bittersweet situation)?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.