Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunjika
Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu...
WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI
Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini sio kweli kwamba pesa haitakiwi mwenye mahusiano.
Usijazwe kichwa kwa maneno kuwa atakupenda tu...
Habari
Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao.
Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba).
Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur.
Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
Anaandika Robert Heriel.
Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe.
Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo.
Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji.
Ndio...
SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI.
Anaandika, Robert Heriel.
Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda...
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.
Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa...
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.
Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.
Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.