kukusanya kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  2. covid 19

    Hili swala la kukusanya kodi mbona kama tunajichanganya wenyewe kama nchi

    Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais kuunda tume maalum ya rais kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya masuala ya kodi. Mimi si mtaalamu sana...
  3. BARD AI

    Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    #KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi. Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
  4. masai dada

    TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
  5. BARD AI

    TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  6. Sildenafil Citrate

    Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data. ITV
  7. BestOfMyKind

    Uvivu wa serikali kukusanya kodi ndo unaleta tozo.

    Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE. Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato. Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
  8. Kijakazi

    TRA ya USA waruhusiwa kuua ikibidi kukusanya kodi ya Serikali

    Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
  9. N

    Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  10. Nyendo

    TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

    KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya, kuongoza kikosi kazi maalumu kwenda kukusanya kodi katika Jiji la Arusha...
Back
Top Bottom