Wajumbe ndiyo Kada usiyopaswa kuiamini japo kwa 10%.
Kada hiyo ndiyo yenye uwezo wa kukuua kwa shinikizo la damu endapo afya yako ni mgogoro.
Wajumbe ni watu ambao wao neno lao huwa ni moja pekee, tupo pamoja.
Wajumbe kukulaza na viatu, kwao siyo suala la ajabu bali ni kawaida tu. Mfano...
NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
Habari wakuu.
Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote.
Je nichukue hatua gani wakuu?
Wakuu,
Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020.
Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.
Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.