Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja.
Naomba kuuliza, ni...
Wandugu habarini,
Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A
Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo
Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A
Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo
Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa
Changamoto...
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!"
2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk.
3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa.
4. Raia, wahanga wa vita...
Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
Utoaji wa vitambulisho vya wamachinga umebaki kizungumkuti kutokana na kutokuwepo kwa taarifa rasmi juu ya kuhuishwa kwake, ikiwa ni miaka tangu vitolewe na Serikali.
Desemba 2018, Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli alizindua vitambulisho vya machinga kila mkoa ukikabidhiwa...
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu.
Muswada huo ulitegemewa...
Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo
Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo
Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara.
Veronique Rabiot, mama wa Rabiot ambaye ni wakala wa mchezaji huyo anataka mteja wake alipwe mshahara wa Paundi Milioni 6...
Wakuu poleni na majukumu.
Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.
Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
Lakini moja ambalo lazima tukiri lilisaidia kukwamisha jambo hili (mchakato wa katiba), ni kwa kila chama kung'ang'ania maslahi yake. Nadhani huo ndiyo ukweli lazima tuseme - Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana.
Watu wanakuja na mapendekezo, chama kimoja kinasema ndiyo, kimoja...
Hii nchi ina vituko sana!
Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss.
Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
Habari wakuu,
Najua kuna watu wamejtoa kabsa kufatilia Bongo Movie lakini embu tujadili kidogo mana hakuna namna mtoto hata akiwa taira huwezi msusa.
Nimejaribu kukaa kuwaza kwanini Bongo Movie haipandi kimataifa.
Na hizi ndo sababu nilizoziona.
1. Directors
Baadhi ya madirector wamekua...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!!
Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
Mtu unaamka unataka kununua umeme au maji kwa kupitia mtandao wa Airtel au VodaCom. Unafanya manunuzi unaambiwa muhamala haujafanikiwa lakini pesa wanakata. Halafu ukiwapigia simu huduma kwa wateja wanasema watarudisha muhamala huo ndani ya masaa 96 ya kazi yaani siku nne.
Kipindi cha nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.