kula bata

  1. felakuti

    Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya.. Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
  2. The ice breaker

    Huu mwaka ni wa kula Bata tu

    Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako usifaidi wa kafaidi wengine ambao...
  3. SAYVILLE

    Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

    Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja. Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
  4. Waufukweni

    Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  5. ndege JOHN

    Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

    Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na unayofanya kila siku. Wewe kwa upande wako ukisema unaenda kula bata unamaanisha mambo gani haswa...
  6. Equation x

    Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

    Wananzengo vipi? Leo tunaenda kula bata wapi? Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama. Twende kazi!
  7. Equation x

    Weekend ya Leo tutoke wotee

    Habari wakuu? Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku. Kupumzika pia ni muhimu, ili kuupongeza mwili kwa kazi kubwa ya kuutumikisha bila kuchoka kwa siku...
Back
Top Bottom