Habari wakuu,
Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus.
Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani.
Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
Imagine tunatoka stendi Arusha asbuhi ya leo mida ya saa Moja, masela flani mid 40s wamekaa siti ya nyuma hapa, wamenunua keki maeneo ya Arusha wakaanza kubonya nkasema sio kesi maybe wamemiss breakfast kutokana na situasheni mbali mbali nkaona unyama wanaume kazini,gari ikafika manyara mzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.