Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki.
N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu.
Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa.
Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
Kesho sili nyama kabisa tena kwaanzia sasa hivi. Msimamo wangu hupo pale pale jinsi nilivyofunga sikula chochote siku mbili mfululizo Idii mos na iidii pili.
adriz hydroxo Accumen Mo Jagina incharge ielewemitaa Malaria 2 Adiosamigo shadrackAmri
Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa...
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell.
CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake.
Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo.
Taarifa iliyotolewa na...
Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.
Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila.
My Take: Tunapoelekea panatisha sana.
----
Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Daktari aliyewatibu amesema walikula Nyama ya ngamia ambaye nyama yake haikuwa salama...
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja. Gen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameyasema hayo Mkoani Dar Es Salaam 10 Septemba 2022 alipokuwa aliongea na Wanahabari kwenye hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve).
Amesema Wakazi wa...
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
Wanapendwa,
Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam.
Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana.
Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu.
Naombeni msaada jamani
Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo.
Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri.
Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
Kuna kuku wangu hapa amekula sumu ya panya nikamkuta amelegea nikamuwahi kumchinja sasa hapa mguu nje mguu ndani kuhusu kumla.
Yaani kuna akili inanijia nimuepuke wakati huo si mara ya kwanza kula nyama ya namna hiyo basi nachanganyikiwa tu.
Nimeshakula nyama zilizotokana na ajali ya kugongwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.