Kuna mwanababa amenileta kwake niishi hapa, hivi sasa natimiza wiki mbili. Lengo kuu haswa la kuwa hapa ni kwa ajili ya kuwapatia mafunzo ya ziada wanae wawili wa kiume, mmoja darasa la nne, mwingine darasa la sita! Hapa nyumbani anaishi pia yeye, mkewe na house girl wake! hivyo nyakati za...