Kuishi kwingi kuona mengi wakuu.
Habari za Leo ninyi nyote wakuu!
Ninaudhoefu kadhaa wa kuishi porini kulingana na kupenda Nature ama kuwa na Hobby ya kilimo na kufuga.
Nimeishi maporini Kwa nyakati tofauti tofauti na kukuta jamii zikila wanyama ambao kikwetu ni mwiko na hawaliwi ila jamii...