kulala mchana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    Kwanini binadam usiku anaweza kulala saa nyingi ila mchana ukijaribu hata saa mbili hufiki

    Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale. Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
Back
Top Bottom