Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali...