kulalamika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. happyxxx

    Wapinzani tukimaliza kulalamika tuje na solution tunafanyaje

    Baada ya kupogwa vibaya tena na tena na ccm kazi inayofata ni kulalamika kama ilivyo jadi yetu. Baada ya hapo sasa twende kwenye point ya msingi ambayo mbowe haitaki ya tunafanyaje nani awajibike?hapo ndio pagumu. Nimemaliza uzi
  2. Eli Cohen

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  3. Hamduni

    LGE2024 Chadema hamkujiandaa na uchaguzi, acheni kulalamika!

    Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya CCM na serikali. Hakuna hata mchakato wa wazi uliotumika kuwapata wagombea ndani ya chama. Walikaa...
  4. kavulata

    Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

    Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani? https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4 ========= Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Naibu Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Unashiriki kufanya maamuzi kwenye masuala ya kisiasa au ni timu kulalamika tu kwenye kila kitu?

    Wakuu, Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye...
  6. Waufukweni

    Dkt. Philip Mpango: Tusikae kulalamika kuwa viongozi hawafanyi kazi bila juhudi za kuwachagua

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, katika Kanisa la Mt. Francis Xavier, Nyakahoja, Mkoa wa Mwanza. Katika hotuba yake, Mpango amewahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi kwa ajili ya...
  7. Pdidy

    Pimeni dna acheni kulalamika ovyo nje

    unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona usumbufu ama maumivu fanyeni haya najua itaumiza ila tumechoka na malalamioo yenu Nenden na watoto...
  8. Mr Chromium

    Kulalamika kwa SGR kuhusu kuhujumiwa ni management failure!

    Hii habari nimeiona wasafi. Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!! Kwanza ncheke😂😂😂😂 Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua? Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa...
  9. Bulelaa

    Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

    Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
  10. Yoda

    Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  11. mwanamwana

    Tabata Bonyokwa tumepata maji siku moja baada ya kulalamika JamiiForums, ila tunaomba haya yazingatiwe

    Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki. Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
  12. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  13. green rajab

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car. Four...
  14. G

    Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

    Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k. wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
  15. Tlaatlaah

    Hili la viongozi wa kisiasa kulalamika zaidi ya wananchi ni jipya

    Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima... Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu...
  16. MK254

    Urusi yaambulia kulalamika tu kuhusu kipigo kilichofanywa na Israel pale Syria

    Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia...... Russia has condemned what it said were "completely unacceptable" Israeli strikes on Syria. Israel carried out its...
  17. MamaSamia2025

    Kada mwandamizi wa CHADEMA kulalamikia mialiko ya ikulu ni ishara nzuri ya kukubalika kwa Rais Samia

    Huko Instagram na Twitter kumetokea malalamiko ya kada mwandamizi na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere kuhusu kutoalikwa kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa ikulu na Rais Dr Samia Suluhu ambaye pia ni mwenyekiti wa chama pendwa CCM. Nimesikitika na waandaaji kumsahau...
  18. G

    Nani kama mama ni msemo wa kijana mdogo, Nimeshuhudia baba akisota kwajili yetu bila kulalamika, stress bila kuonyesha masikitiko, wazazi wote ni sawa

    Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake. Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
  19. Webabu

    Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth. Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
  20. TUKANA UONE

    Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
Back
Top Bottom