Baada ya kupogwa vibaya tena na tena na ccm kazi inayofata ni kulalamika kama ilivyo jadi yetu.
Baada ya hapo sasa twende kwenye point ya msingi ambayo mbowe haitaki ya tunafanyaje nani awajibike?hapo ndio pagumu.
Nimemaliza uzi
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya CCM na serikali.
Hakuna hata mchakato wa wazi uliotumika kuwapata wagombea ndani ya chama. Walikaa...
Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani?
https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4
=========
Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania
Naibu Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na...
Wakuu,
Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, katika Kanisa la Mt. Francis Xavier, Nyakahoja, Mkoa wa Mwanza.
Katika hotuba yake, Mpango amewahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi kwa ajili ya...
unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari
sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa
hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona usumbufu ama maumivu fanyeni haya
najua itaumiza ila tumechoka na malalamioo yenu
Nenden na watoto...
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!
Kwanza ncheke๐๐๐๐
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa...
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!
Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa!
Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki.
Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
๐จ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธ FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
Four...
Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani
Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k.
wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima...
Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu...
Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia......
Russia has condemned what it said were "completely unacceptable" Israeli strikes on Syria.
Israel carried out its...
Huko Instagram na Twitter kumetokea malalamiko ya kada mwandamizi na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere kuhusu kutoalikwa kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa ikulu na Rais Dr Samia Suluhu ambaye pia ni mwenyekiti wa chama pendwa CCM. Nimesikitika na waandaaji kumsahau...
Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake.
Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
Mambo yamekuwa mambo !
Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth.
Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa
Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi...