Wakuu.
Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa.
Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania.
Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
Siku zote changamoto ndio zinatufanya nini tuamue kwenye maisha yetu, kwenye maamuzi hayo tunatakiwa tuwe na umakini wa kutoathiri hisia za wengine. Binadamu tunakosea mno kuishi kwa kukariri, usimhukumu mtu bila kujua chanzo cha kosa! kuuliza sio ujinga na kukaa kimya sio dawa ya kuuwepuka...
Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi.
Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza.
Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu.
Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
Huwa kunakuwa na maneno mengi sana kwa watu wanaoishi mjini wakiwa na mafanikio hata kidogo huku nyumbani kwao kukiwa bado duni mfano bila nyumba nzuri ya wazazi.
Hiii hutokea rafiki zao wanapofika nyumbani kwao kwa sababu mbalimbali lakini hasa wakati wa msiba, hapo utasikia
"Huyu jamaa...
Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar.
Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa wanatafuta uwanja wa kuchezea baada ya Lupaso kufungwa na Simba kutotaka kutumia uwanja wa Azam Chamazi...
Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini.
"Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.
Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
Kupotoka kwa maadili mara nyingi lawama wanatupiwa wazazi na utandawazi, lakini ebu tuangalie wajibu wa serilkali kwa maana ya mhimili wa utawala wenye mamlaka ya kusema hii sawa na hii hapana.
Majuzi nilikuwa naangalia kipindi cha mkutano wa wadau wa madini kilichofanyika Geita ilinipa...
MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
Salamu,
Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa.
Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni matokeo ya uvurugaji wa yule aliyepita, na ukweli ni kwamba tutaumia Kwa zaidi ya miaka 15 Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.