Siku zote changamoto ndio zinatufanya nini tuamue kwenye maisha yetu, kwenye maamuzi hayo tunatakiwa tuwe na umakini wa kutoathiri hisia za wengine. Binadamu tunakosea mno kuishi kwa kukariri, usimhukumu mtu bila kujua chanzo cha kosa! kuuliza sio ujinga na kukaa kimya sio dawa ya kuuwepuka...