Wasalaam wana MMU.
Nyuzi kuhusu ndoa kuwa ni chungu, yenye mateso zimekuwa ni nyingi sana humu jukwaani.
Leo nimeona nitoe ushuhuda wa maisha yangu ya ndoa ndani ya miaka 14. Kwangu mimi ndoa imekuwa ni baraka sana na yenye furaha.
Natoka katika jamii ambayo elimu haikuwa kipaumbele kabisa...