Je, umesoma kitabu hiki? Angalia picha ya gamba (cover) lake kitabu hicho.
Na, je, unajua maana ya usonji?
Kwanza tuujue usonji (Kiingereza, autism)
Usonji ni hali ya kuwa na changamoto za akili zinazoathiri uwezo wa mtu kuwasiliana na kuchangamana na wengine, pamoja na kuwa na tabia ya...
autism
baba na mtotomwenyeusonji
changamoto za mtotomwenyeusonji kwenye ndoa
kuleamtotomwenyeusonjiusonji
vitabu kuhusu usonji
waaanyakazi wa nyumbani na mtotomwenyeusonji