Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu
Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea.
Maisha...
NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA
Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine.
Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
Nawasalimu ninyi nyote, Mungu mkubwa nipo salama.
Nipo hapa leo kuwapa experience yangu niloipata kutoka kwenye kulelewa na mama wa kambo (step mother)
1. Ukiwa na akili darasani KUSHINDA watoto wake imekula kwako utateswa mpka ujute kuzaliwa.
2. Watoto wake wakiwa vikojozi hafu wewe hukojoi...
Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka au kuolewa na wazee inaonekana ni mahusiano ya kawaida tu?
Haya yote si mapenzi tu kila mtu na...
Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama...
Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu.
Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu.
Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi...
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani...
1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi.
2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa.
3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi...
KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine
Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa, kuvishwa, kuishi nyumbani na kulelewa na wazazi ama ndugu walioweza kujitwika hayo majukumu.
kuna...
Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.
Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la kuendesha familia zao huku wanaume wakiongoza kufanya vitendo vya dhuluma dhidi ya mali zinazotafutwa na wake zao.
Chalamila ameyasema hayo wakati akifunga kongamano la sita...
Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za simu,nauli/mafuta & service ya gari n.k.
Lakini kwa namna wake zetu (nimeoa) walivyo na maneno ewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.