Hatimaye Leo nimegundua kulia Ni therapy nzuri Sana nlipatwa Na kipindi kigumu kilichoniumiza Sana nkawa najitahidi kukabiliana nashindwa.
Nikaingia room nikaangua kilioš¤£š¤£Kile kama cha mtoto nikalia Sana then nikanyamaza baada ya dakika chache nikakaa Sawa nikajisikia vizuri.
Mnapopatwa na...