kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

    Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
  2. TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  3. S

    CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  4. Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

    Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu. Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side? Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
  5. Kuna ulazima wowote kidini au kimila kulia unapofiwa?

    Habari, Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia? Kwanini watu wakienda kwenye msiba wanataka wakimuona mfiwa wamuone kachakaa, macho yamevimba uso umeumuka kwa ajili ya kulia...
  6. M

    Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati kuna bahari

    Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo. Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
  7. B

    Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

    Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto? Looh! Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona? Kama ilivyo kwa...
  8. Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
  9. L

    Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  10. M

    Tusiishie kulia lia tu, tujihami na watekaji

    Hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi kujihami. Kila mmoja awe na chochote kinachoweza kumsaidia kujihami na watekaji. Mimi naamini...
  11. B

    Palikuwa na uamuzi na miito ya kutokushiriki chaguzi bila katiba mpya. Ya nini kulia lia sasa?

    Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo? Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk? Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20? Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
  12. M

    CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  13. LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  14. Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  15. Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  16. I

    Changamoto ya mtoto kulia sana usiku

    Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima. Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu...
  17. Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
  18. J

    Nasumbukiwa na maumivu ya upande wa kulia wa kifua na mbavu

    Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
  19. Ukikutana na ujumbe huu upotezee usije kulia

    Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu msiwapigie, ni waongo na wezi usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK ...
  20. Mnaojua Mpira nielewesheni, kwa nini Balua anapangwa kulia?

    Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa) Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba. Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…