kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  2. Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  3. Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  4. Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  5. B

    Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  6. Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

    Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile...
  7. M

    Niger: Aanza kulia kama mtoto baada ya kuambiwa atapigwa risasi asiposema pesa za ufisadi zilipo

  8. Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani. Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
  9. Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

    Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42. Ash
  10. Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
  11. Ikiwa D, naendesha gari, inawaka R na kupiga alarm ya reverse, P indiketa ya kulia inawaka signal

    Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu? Au waya zimegusana? Msaada tafadhali@jitumirabaminne..
  12. Huku kulialia kwa Waitara ni 'Presha' za Uchaguzi Mkuu 2025

    Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo. Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
  13. G

    Msaada maumivu tumboni na pande zote kulia na kushoto kupelekea ganzi mikononi na miguuni

    Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
  14. Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  15. Usikubali kulia milele

    Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi. Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na...
  16. Rais anakopa imekuwa nongwa, sasa kaanza kukusanya za ndani ili asikope mmeanza kulia. Rais fanya unavyojua, hawa ndio wanadamu!

    Mama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima Kodi ya ghafla. Wenye nongwa wakaongea ooohhh, tuna hela nyingi, mbona sijui nini,nchi yetu tajiri...
  17. Mwaka 2009 nilichorwa kwa wembe alama hii kwenye dole gumba la mkono wa kulia, maana yake nini?

    Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
  18. Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

    Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
  19. Je, ni kwanini ukikata kona kulia gari inaenda kulia na si kushoto?

    Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…