Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano
Suala tozo
Chanjo
Democracy
Ugaidi
Kuna kipindi Rais JMK mstaafu na Dkt. John P Magufuli walizungumza na taifa pale ilipotokea kukawa na kelele...