kulilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

    Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake. Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika...
  2. Apollo tyres

    Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  3. Pang Fung Mi

    Leo ni siku ya Chadema kulilia wakiongozwa na Mbowe wao

    Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize. Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama. Mtasubiri sana Awadhi Jua la Asubuhi Hana mzaha. Chief Wadiz
  4. Tlaatlaah

    Uliwahi kulilia mapenzi?

    Kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
  5. Gang Chomba

    Kisa cha Zidane kulilia kwenda Juve, lakini anapokwenda anamkosa aliemfuata…

    Alipotakiwa na Juve Mwaka 1994 Zinedine Yazid Zidane alifurahi saana. Kisa cha yeye kufurahi ni kwamba angekwenda kuungana na Mchezaji wake boora wa muda wote ambae yeye anakiri kuwa vitu vingi alinakili kutoka kwake. Lakini timu yake ya Bordeaux ilikataa katakata kumuuza kwa kauli kuwa wana...
  6. The Burning Spear

    Si kila mwana CCM ni wa kulilia akifa wanatutesa sana wakiwa hai

    Great Thinkers. Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana. Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu. Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
  7. Melki Wamatukio

    Tuliowahi kulilia mbususu hadi kuipata, japo kwa ugumu tukutane hapa

    27th April niliamua kumbananisha kwa ukuta binti mmoja mwenye 23 yrs, tako mbudule, ka nane fulani hivi kwenye nyonga na weusi wa mzeituni. Bila kuchelewa nikaanza kukafungukia ya moyoni, hakakuwa serious kiivyo, kakaishia kunipush na kuondoka zake 29th April mida ya jioni tulikuwa na party la...
  8. comte

    Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
  9. MakinikiA

    Ukraine yadai kombora la Urusi limeshambulia karibu na kinu cha nyuklia

    Ukraine claims missile hit area near nuclear power plant Screenshot from a video published by Vladimir Zelensky's social media A missile has hit a location in Ukraine’s Nikolaev Region close to the South Ukraine nuclear power plant, President Vladimir Zelensky has claimed. The incident...
  10. DR HAYA LAND

    Mwisho wa kulilia, kulalamika kwa Watanzania ni lini?

    Najiuliza watz mtalia Lia mpaka lini? Kiufupi naomba spana ziendelee. Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima. That all
  11. Kulupango

    Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

    Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri. Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
  12. Jack Daniel

    Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

    Habari wanabodi ni matumaini yangu mu wazima Kama ada wana MMU, vipo visa vingi tunafanyiana wanandoa hasa mtu kuumizwa na mapenzi na mtu mwingine ilhali mtu una mke/mume. Iko hivi Kuna kipindi niliwahi kuteseka Sana na mchepuko Tena naamini hakunipenda ila alipenda pochi yangu tu. Basi kuna...
Back
Top Bottom