kulinda amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Pre GE2025 ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
  2. Jamiitrailer

    Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko kulinda amani ni pesa na si kingine

    Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani. Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili...
  4. Braza Kede

    Tusitegemee Jumuiya au mataifa mengine kulinda amani yetu-Tulinde amani yetu wenyewe!

    - Kinachoendelea kwa majirani zetu DRC ni ishara kuwa amani ikitoweka nchini mwako basi usitegemee eti utapata usaidizi wa Jumuiya au mataifa ya nje kusaidia kuirejesha amani hiyo. - Vivyo ivyo ikitokea kwa mfano nchi imevamiwa na watu wa ndani au wa nje na amani kuharibika basi usitegemee eti...
  5. Webabu

    Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  6. Waufukweni

    Waziri Ulega: Tunafanya kazi usiku na mchana kulinda amani

    Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameaungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake, pamoja na kuliombea Taifa ili liwe na amani, umoja na mshikamano utakaowezesha maendeleo endelevu...
Back
Top Bottom