Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameaungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake, pamoja na kuliombea Taifa ili liwe na amani, umoja na mshikamano utakaowezesha maendeleo endelevu...