Mimi nadhani tuweke sheria maalumu ambayo itakaziwa sana na itasimamiwa vikali na kwa nguvu na serikali.
Ikigundulika mwanamke au mwanaume anasaliti eneo la kazi na ushahidi upo wa kutosha then mume au mke halali wa muhusika akafungue mashitaka katika mahakamani maalumu ya ustawi wa jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.