Habari Wakuu,
Kila mmoja anatafuta nini afanye kudumu kwenye penzi haijalishi ni ndoa au mahusiano ya kawaida.
Ukweli ambao inawezekana hatuujui ni kuwa ,HAKUNA kanuni maalum ya kulinda penzi lako ila tu ile ambayo utajipangia mwenyewe.
Asikudanganye mtu anavoishi na mkewe au mumewe eti nawe...