Nakumbuka jumapili moja nikiwa Sina hata 100 mfukoni nikiwa nawaza nafikaje kesho chuo maana kwenda na kurudi ni 1200 basi mida ya saa mbili najiandaa kwenda kanisani mara nikapigiwa simu na namba ngeni.
Nikasikia sauti ya mwanaume akiniambia nimsamehe kwani alikuwa amepata...
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family...
Umeenda manispaa umepimiwa kiwanja kwenye mradi na hakina mgogoro baada ya hapo unakabidhiwa fomu ya kupokea kiwanja ambayo ina details zifuatazo:
1. Jina la mmiliki
2. Ukubwa kwa sqm
3. Mahali kilipo (block ABC)
4. Aina ya matumizi kama ni makazi pekee au makazi na biashara.
Na mwisho pale...
Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya.
"Income kutoka Kenya inatabiriwa...
Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22
Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri kufikia tarehe 31 Desemba 2020, ambao wengi wenu mnajua ni mwaka wa Covid-19.
Unajua mkopo wetu...
MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo linadaiwa kuwa ni rushwa kwa polisi wa Kituo cha Sabasaba.
===
Mwanaume wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha...
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA.
Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo.
Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael.
Au ndio mmeshapoteza...
Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA
🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments)
🔋Mtibwa walisema wazi kuwa wao wanachotaka ni pesa yote kamili kwakuwa hawana haraka nayo, Mtibwa ikaomba ipewe tarehe...
Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi...
Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar.
Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%.
Mkataba wa Muungano kati ya...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka"
Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo.
Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu.
Waheshimiwa nina swali.
Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na...