Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala
Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda..
Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita!
On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5.
Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini...
Mahakama Kuu iliwaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji.
Albert Msando, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, yeye na...
Mahakama Kuu, imewaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji.
Hii ni baada ya mrufani wa kwanza, The Don’s Group Tanzania ya Jijini Arusha na...
Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa:
Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa unapokea malipo yote kama ilivyokubaliwa kwenye makubaliano ya fidia. Angalia kwa makini kiasi cha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni.
Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023.
===
Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.