1. Video ya kwanza Rais Samia akihimiza wafanyabiashara watoe kodi kwa moyo kwani kodi haziingii mifukoni mwa Viongozi. Hapa anamaanisha serikali iko vizuri katika kubana matumizi.
Rais katika nia yako njema ya kulijenga taifa angalia na haya mambo madogo madogo, yanakula sana pesa za umma...