kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  2. KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  3. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  4. SMART DOOR LOCK (KIBOKO YA WAPANGAJI WASUMBUFU KULIPA KODI)-0746373222.

    KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT. 📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka. 📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu...
  5. Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  6. JANETH MAHAWANGA; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?

    JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
  7. KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  8. Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Wakuu kwema? Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu. Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi. Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
  9. Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  10. G

    Bilionea Mulokozi hulipa kodi ya bilioni 7 kwa mwaka. Je, wewe una mpango wa kulipa Kodi kiasi gani kusukuma maendeleo ya nchi yetu?

    Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
  11. Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  12. Shule zimefunguliwa Leo: Viti special Kwa waliomaliza kulipa ADA za shule

    Karibuni!
  13. Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  14. Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  15. D

    Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

    Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu...
  16. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
  17. HIVI JAMII FORUM WAMEANZA KULIPA KAMA KWA ELON?

    Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
  18. Kuna shida yoyote kama efd machine haitumiki kila siku ikiwa TRA wamenikadilia kodi ya kulipa kwa mwaka?

    Ni January inakaribia ndyo nakumbuka kuna kitu kinaitwa efd machine na kutoa risiti kwakweli kwangu ni ngumu,syo makusudi bali ni kusahau tu. Sikumbuki huu mwaka unaenda kuisha nadhani nimeitumia kama miezi minne tu zikiisha rola ndo kabisa nasahau kila kitu. Lakini TRA wameniwekea makadilio...
  19. A

    KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  20. A

    KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

    Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali. Walipoulizwa juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…