Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.
Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla
Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024
Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema "Tulikuwa na mazishi ya pamoja ya watu 52 jana Septemba 8, 2024 na tuna watu wanane wakipokea matibabu...
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro.
Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu...
Ukimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga.
Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia...
Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni...
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema silaha zilizopelekwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine zinamiminika kwenye eneo la Sahel barani Afrika kupitia biashara ya magendo, zikichochea nguvu za makundi ya kigaidi na kutishia amani na usalama wa bara hilo.
Ametoa wito wa kuharakisha...
Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea .
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu?
Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
Hakika nadhani zile kauli za Viongozi kuwa MACHINGA WASIBUGUZIWE waacheni Wafanye Biashara popote na tukawatengenezea Vitambulisho vya kuwatambua na kuchukua Sh.20,000/= sasa Madhara yake ndio Yameanza kuonekana.
Watanzania TUACHE SIASA kwenye kila Kitu. Sasa hivi Machinga hapo Walipo ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.