Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username ni namba yangu ya mtihani. Mbaya zaidi nikijaribu option ya kuset password naye inakataa. Mbaya zaidi...