Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF
Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa kupata 100% ya mkopo so hata bum nilishindwa kuliweka linisaidie kiwango kikubwa nilimaliza kwenye ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.