Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria.
Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...