Salaam,
Kuna wakati katika maisha yetu Tanzania Bunge lilikuwa linasikilizika, hoja, zilikuwa zinatengenezwa.
Bongo zetu zilikuwa zinapata madini na kufahamu mambo mengi. Kwa hali za Chaguzi za sasa na namna Wapinzania wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe, sijajua kama hali hii itakuja kutokea...