kumbukizi julius nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia akishiriki kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere

    Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, leo Oktoba 14, 2024. https://www.youtube.com/live/v8nSt4aSfdM?si=xHhzHPZ8Cjbg-3m9
  2. Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  3. Nyerere Day iadhimishwe bara zima la Afrika kumuenzi Baba wa Afrika

    Tarehe 28 September 1999 redio SAFM (South Africa) ilitangaza kifo cha Mwl Nyerere. Tena wakarudia kutangaza 11 October 1999 kuwa Mwl ametutoka huko Uingereza, Tena wakatangaza 14/10-1999. Baada ya kila tangazo waliomba radhi kwa taarifa zisizosahihi lakini kinachoshangaza ni kwanini redio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…