Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta Tanzania Ndg. Constantine Kasese amehudhuria tukio la kuweka mashada katika makaburi ya Mashujaa waliopigana vita ya kwanza ya dunia kati ya mwaka 1914-1918 kama ishara ya kuwaenzi mashujaa hao,ijulikanayo kama #Layingwreathceremony#...